t

Petition

TERMS AND CONDITIONS

Welcome to our website. If you continue to browse and use this website, you are agreeing to comply with and be bound by the following terms and conditions of use. If you disagree with any part of these terms and conditions, please do not use our website.

The use of this website is subject to the following terms of use:


You may not do any of the following while accessing or using the Inclusive Development for Citizens platform and services:


Kuelekea kwenye Siku ya Taifa ya Wanawake wenye Ulemavu

Posted on : 31 January, 2020

Wanawake wenye ulemavu wanakumbana na changamoto mara mbili, kukabiliana na ulemavu wao na mitazamo ya kijamii kwenye jinsia.

Wanawake wana uwezekano mkubwa wa kuwana ulemavu kuliko wanaume. Na wanawake wenye ulemavu wana uwezekano mkubwa wa kukumbana na ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa kingono kuliko wasio na ulemavu.

 

Kwa hiyo, tunawaomba ndugu, jamaa na marafiki, popote mlipo kuunga mkono nasi kuliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutangaza rasmi Siku ya Taifa ya Wanawake wenye Ulemavu. Uwepo wa siku hii utasaidia:

- kuongeza ujuzi wa jamii kuhusu haki za watu wenye ulemavu

- kuwawezesha wasichana na wanawake wenye ulemavu kupaza sauti zao

- kusaidia serikali na wadau wengine kujua changamoto wanazozikabiliana nazo ili kuwawezesha wanawake wenye ulemavu.

 Tafadhali weka jina, mawasiliano na taarifa zako sasa hivi.
Reasons for Signing


Jennifer MwandosyaI support the movement...Wanawake walemavu wawe na siku yao inayotambulika duniani 1 week ago


Suma MwaipopoKuunga mkono hoja 1 week ago


Janeth MwanjejeleSiku ya wanawake walemavu ijulikane duniani 1 week ago


Jane JisanduI support the movement 1 week ago


Joseph MwandemboMore rights for vulnerable women 1 week ago


Deogratius Ilomoconnection 1 week ago


Najenjwa JumaJob opportunity 1 week ago


Waiman NtikachikaLooking for job 1 week ago


Flower MshanaTo get information 1 week ago


Salama KidelaI am interested 1 week ago


Isihaka AziziSearch for the job 1 week ago


SALOME LUVANDASearching for job 1 week ago


Siya MdawaWomen who are disabled have the same right as normal people. The government and society at large they should give them a hand in rising their voice , laws and rules should be made for those who will harm or even not hire a disabled person. 1 week ago


Emmanuel Makundisearching job 1 week ago


Khasma MtegaSearching job 1 week ago


Gim TaekSearching for job 1 week ago


Faustine MuganyiziFor Tanzanian development and helping the society in fighting different challenges. 1 week ago


Benson HumphreyI'm Interested 1 week ago


David FabianWazingatiwe.. 1 week ago


Faraja LuhanjoYes empower them because they have a right and they can perform well. 1 week ago


Mohamed MgeniTo empower and give women who live with disabilities to room to unveil problems, among other things, unemployment, stigma, and sexual harassment. 1 week ago


Pendo MushiGod bless us 1 week ago


Veronica TossiThey can do wonders so lets support them in any how. . . .and to make sure they get all rights as human beings. . . . 1 week ago


Lucresia MakiriyeWanawake wenye ulemavu wowote wanahitaji kuheshimiwa na kupona haki zote stahiki 1 week ago


Beatrice NjauWatu wenye ulemavu wana haki sawa na watu wengine 1 week ago


Euphrasia KiowiHelping others 1 week ago


Glory MremaWapewe kipaumbele na wao wanaeza 1 week ago


Neema LyimoThis is the right thing to do because they have been unheard for a long time now 1 week ago


Siah MremaI love to encourange my fellow women in every way possible, showing love, support and care. Lets light the World with Awareness. Girl Power shines All. 1 week ago


CECILIA MZENANaungana na watu wote kuliomba bunge kuruhusu siku ya wanawake wenye ulemavu ili kutoa uwanja mpana kwa maendeleo ya jamii kiujumla 1 week ago


Pricillah PolepoleHelping friends to get their rights 1 week ago


Lyse MoshaGirl power 1 week ago


Glory ShayoAgree to have disabled women's day 1 week ago


Janeth KalaluTo make the women voices more powerful saing no to marginalization and exploitation especialy for those with dissability. 1 week ago


Farida OllomySupport the petition 1 week ago


Franck KakillaWanawake walemavu pia wakiwezeshwa wanaweza tunaomba bunge letu tukufu lisikie kilio chao na ifanyike maaamuzi haraka 1 week ago


Patrick MushoboziSababu kuu ni kwa Mungu anasababu ya kila uumbaji na pia kila alieumbwa ana haki ya kufurahi kila siku. Mwanamke ni ufunguo wa ulimwengu na pia wanaitaji heshima kubwa. Naunga mkono kwa hii siku maalum kwa wanawake walemavu. 1 week ago


Anwar MremaWaruhusu tu iyo siku iwepo 1 week ago


Florence BarroNi muhimu kutambua haki za kundi hili uhimu katika jamii. 1 week ago


David AdolfWanawake walemavu pia wakiwezeshwa wanaweza tunaomba bunge letu tukufu lisikie kilio chao na ifanyike maaamuzi haraka 1 week ago


Moreen MremaSupporting the petition 1 week ago


Grace ShillySuporting all women in the world to reach their goals. Together we can 1 week ago


Sia MremaSupporting Petition 1 week ago


Zainab LukutaEvery Girl has a right to still be given education even when she gets pregnancy. Education can be the only thing that will enable her to know what she can do next in taking care of herself and her baby. 1 week ago


Sostenes MbuyaKuikumbusha wizara ya afya, maendelo, jinsia wazee na watoto kuikumbusha serikari na bunge kiujumla kuhusu wanawake walemavuu nao wana nafasi katika nyanja mbalimbali ikiwemo mazingira mazuri ya elimu 1 week ago


Gerson JangaThis will be a vital day, as it will be used a forum for people with disabilities to meet ,aggregate and articulate their demands. 1 week ago


NURU MPUYAKuungana nanyi kuliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutangaza rasmi Siku ya Taifa ya Wanawake wenye Ulemavu. 1 week ago


RICHARD CHUMIUwepo wa siku ya walemavu Tanzania itachangia kuongeza uelewa kwa jamii zidi ya umuhimu wa kila mtu awe mlemavu au sio na italeta chachu kwao katika kuleta maendeleo katika jamii kwa kushiliki kwenye shughli za kiuchumi na taifa lote kusonga mbele kimaendeleo. Asanteni kwa kutushilikisha. 2 weeks ago


Frola MosesNina Amini wanawake wenye ulemavu wanaweza kama watashirikiswa na kuthaminiwa 2 weeks ago


Hans RoyThe government and parliament should recognize the day 2 weeks ago


Joseph SilayoKila mwanamke/binti mwenye ulemavu wa aina yoyote ile anapaswa kupewa mahitaji yote ya kimsingi ambayo mwanadamu mwingine asie na ulemavu hupewa 2 weeks ago


godfrey msombakuunga mkono itangazwe siku rasmi ya ya kitaifa ya wanawake wenye ulemavu 2 weeks ago


Magreth LazaroTo join with other so as to bring changes 2 weeks ago


Zuena WaziriInterested 2 weeks ago


Tibert MushiKuikumbusha serikali na taasisi zingine kutosahau kundi hili la wanawake walemavu katika kuwapitia kile wanachostahili na yale wanayopaswa kupewa, kutendewa na kuheshimiwa maana ni binadamu kama binadamu wengine 2 weeks ago


Hamis StansIt makes sense. 2 weeks ago


Ricardo MarundaIts their right as human being 2 weeks ago


Jackline NnkoNaunga mkono siku ya wanawake duniani 2 weeks ago


Abdalla AbdallaWanawake Walemavu nao Ni wanawake Kama wanawake wengine Wana haki Sawa, IPO haja ya ya Bunge na jamii nzima kwa ujumla kuitambua Siku ya wanawake Walemavu kitaifa na kimataifa.. 2 weeks ago


Estom BalulaKuwawezesha wanawake na wasichana kujikimu na kuweza kumudu mahitaji yao ya kila siku. 2 weeks ago


Dickson MakongoKuwawezesha kupata huduma Bora za kijamii, na pia kuhakikisha usawa kwa watu wote 2 weeks ago


Majaliwa ChuiWe need women to be equal in this Tanzania and inter Africa and included in different type of development like political,economic and social development in general.These may reflect on Sustainable Development Goal (SDGS) 2030 2 weeks ago


Tumaini MasegeseWomen with disability should be empowered 2 weeks ago


Leon SukumI want equality 2 weeks ago


David GitagnoKushiriki na wengine juhudi za kuwapatia wanawake wenye ulemavu nguvu 2 weeks ago


nsongo DawaWe are the defendant of all disability women's ✊🏿 2 weeks ago


Florian PrudenceEquality is what is needed not equity 2 weeks ago


Edwin MicksonWomen with disabilities should be given a proper platform to express their capabilities.. Disability is not inability.. I stand with mama 2 weeks ago


Nuru MughenyiI sign as to support Women with disability should be empowered 2 weeks ago


Hadija MaarufuIt will be a good platform to bring together women and girls with disability and air out our common correspondence in a collective manner 2 weeks ago


Asha DinyaWomen are special group but women with disabilities are more special therefore they need support . 2 weeks ago


Naima BahatiI want them to be empowered. Power should not be given, it should be demanded 2 weeks ago


Tumadiana SulleKupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake walemavu 2 weeks ago


Daud MushiDisability is not inability, Women with disability should be empowered 2 weeks ago


Iddi MunaWe are the defender right for women with disabilities 2 weeks ago


John RichardWomen with disabilities they need platform to air out their voices. 2 weeks ago


Rabia JumaReason for Signing (Optional)I sign so as to ensure protection of rights for people with disabilities 2 weeks ago


Masaga BulemelaI signed to give my opinion on Getting help as women with disabilities Experience Sexual violence largely due to their circumstances. 2 weeks ago


Busungu MathiasI agree for the petition to be declared by Parliament 2 weeks ago


Msafiri NgololoI support the human rights of women with disability 2 weeks ago


Eric MatageI beleaguered they need to be recognized worldwide. 2 weeks ago


Malick MohamedI sign for the Right of the women with disability 2 weeks ago


Maria HozzaEqual rights 2 weeks ago


Kelvin MakiluliHuman rights 2 weeks ago


Mika MnyambiI signed because is very important to have this day for providing awareness to this group within our societies 2 weeks ago


Basil SanawaI support the petition 2 weeks ago


Stanford OnesmoInclusive development for citizens's terms of service and privacy policy 2 weeks ago


Alpha KimweriNaunga mkono wazo la bunge kutangaza siku hiyo kwa sababu kuwa na siku hiyo kutaweza ku-uncover vitu vingi vinavyoweza kufanya na wanawake wenye ulemavu. Ikiwa ni changamoto zao, matarajio yao na ushiriki wao katika kuleta maendeleo ya kwao binafai na taifa kwa ujumla. 2 weeks ago


omari _Shusha Tanga Pandisha Tanga 2 weeks ago


Abdulnuru MeenaSis sote ni binadamu 2 weeks ago


Dickson MaluluPromoting Equality ,Courage,and love! 2 weeks ago


Steven JohnProvision of courage to the disabled group 2 weeks ago


Sylivester MajigeInclusion of people with disability is important for a just and equitable society. 2 weeks ago


Juma Ndoerachange supporter 2 weeks ago


Joseph MwanangwaPromoting equality 2 weeks ago


Miriam MkanakaTo support the movement 2 weeks ago


Nath MkEither disable, pregnant or not. All girls deserve to go to school. Period 2 weeks ago


Inno LumumbaI beleive in equal rights and justice to each and everyone of us 2 weeks ago


Saidi IbadaMinority group especially disbalities are not given priority, so we need equally society. 2 weeks ago


Dee De ongStand for abnormal Woman 2 weeks ago


Sadam KazinjaBeliever in social equality to all its members 2 weeks ago


Ezekiel TunguEquality matter's 2 weeks ago


Catherine MgendiEveryone deserves to enjoy all their human rights. 2 weeks ago


Blassius IshengomaTo support 2 weeks ago


Lazaro TiimanywaKutambua siku ya wanawake walemavu 2 weeks ago


Emanuel MagingaWanawake walemavu wamesahulika sana 2 weeks ago


Abubakar SauliIts a green light towards humanity. 2 weeks ago


Hafsa SasyaI believe in equal justice to all. 2 weeks ago


Michael MwamwimbeTambua wanawake walemavu 2 weeks ago


Salum HamisiKuweka siku maalum kutahamsha hali ya watanzania ktk kutathmini haki zao, naunga mkono 2 weeks ago


nashon MarwaI agreed with twaweza for join and help disabled women in Tanzania 2 weeks ago


Hassan RwititaBunge la Tanzania tunaomba lijadili na litunge sheria nzito ya kuwarinda wanawke walemavu na kuwapa upendeleo ktk kuwapa elimu. 2 weeks ago


Baba SenyoniHujafa hujaumbika, binadamu wote ni walemavu wajao 2 weeks ago


Ally SuleimanWalemavu wana haki sawa na wengine. 2 weeks ago


Ally chuoulemavu si udhaifu. kutambua siku hii kutaweza kuweka wazi uwajibikaji kwa jamii na kuwachukulia wanawake wenye ulemavu sawa na wengine katika kutimiza majukumu yao kwa kupata huduma bora na stahiki kutokana na hali zao. 2 weeks ago


Richard MabuyuWomen with dissability have equal rights. 2 weeks ago


Bahati MwanyilaIn Tanzania, women are said to be lagging behind in many issues particularly in economical aspects, the affects are more pronounced to disabled women. Therefore, this movement would issue that politics of disabled women receive considerable attention from policy makers to law makers as well as implementors. 2 weeks ago


Abdulkarim JumaTo empower disabled and promote equality to the society 2 weeks ago


Allen SiyaoSupporting disable women day 2 weeks ago


Ayoub MollelKuikumbusha jamii kuhusu kuwapa nafasi walemavu 2 weeks ago


Samuel AmosWawekewe miundombinu wezeshi ikibidi pia wawezeshwe.. 2 weeks ago


Sophia KombaI justice for women with disabilities 2 weeks ago


Abdulaziz LunguThey mean a lot to the society 2 weeks ago


Inocent MalipaMuamko ni mdogo kwa jamnii kwenye suala zima la ulemavu,kuwepo kwa siku hii kutachangia kubadili mitizamo hasi juu ya wanawake wenye ulemavu 2 weeks ago


Masanja NgikaWalemavu wawekewe miundombinu wezeshi kwao 2 weeks ago


Furaha DimbwaPromoting human rights 2 weeks ago


Anorld KyambaWomen with disabilities have equal rights in the society as other women.. They need to be recognized also for the betterment of our societiu 2 weeks ago


Joseph KingiliThe reason is to allow women's with disabilities to have their special day so that a society can get education about them,support them as well as change people's minds who think that they can't do anything within the society 2 weeks ago


Sylvester MwitalaI support disabled women to have their rights 2 weeks ago


Biz 99555They deserve better 2 weeks ago


Aggrey UrioI support women with disabilities 2 weeks ago


Chrispine NdyamukamaWanawake walemavu wana changamoto nyingi sana kwenye jamii inayowazunguka kutokana na hali waliyo nayo. Kura yangu huenda ikabadilisha maisha yao kwa namna moja au nyingine. 2 weeks ago


Hossea KapellaKila binadam bila kujali jinsia yake anazo haki za kupatiwa mazingira bora ya elimu na kuishi 2 weeks ago


Jabir JabirKuwe na siku maalum ya wanawake walemavu Tanzania 2 weeks ago


Lusako AggreyReason for Signing (Optional) Mwanamke ni Nguzo katika Maendeleo 2 weeks ago


yeezus JaicoWanawake wenye ulemavu wana mchango na nafasi kubwa ktk maendeleo chanya yatupasa kuwakumbuka 2 weeks ago


Elson KibasindilaKila mtu ana katika jamii inayomzunguka haijalishi yuko vipi kimaumbile 2 weeks ago


Hilda NewtonUlemavu sio sababu ya kuwanyima wanawake haki zao za msingi 2 weeks ago


James JesseI support women with disabilities 2 weeks ago


Mariam Mangareall women are equal,together we stand for one another 2 weeks ago


Isdory MgorokaHaijalishi ni mremavu .mwanamke ni kiongozi muhimu katika maendeleo 2 weeks ago


Yangalai MkulagoI stand for people with disability 2 weeks ago


Lilian KulataUlemavu si sababu ya kuwanyima haki za msingi wanawake, tuwajali na kuwathamini wanawake wenye ulemavu kama wanawake wengine! #tuwathamini 2 weeks ago


Lisa Hildephoncemwanamke ni chache ya mabadiliko kwa jamii zetu na kuwa na ulemavu sio sababu ya msingi kwa mwanamke kuendeleza juhudi zake za maendeleo kwa jamii zetu, tuwape wanawake vipaumbele kwenye jamii zetu na taifa letu kwa ujumla bila kujali ulemavu Walio nao 2 weeks ago


Fatma MohamediWe are all the same regardless of our color,status, sex, and disabilities . We should be treated same and respcted by everyone. This day will help to highlight problems of girls and women with disabilities and find ways for solving them. 2 weeks ago


Masha BenderaMwanamke nichachu yamabadiliko 2 weeks ago


Ashatu Ramadhanihttp://www.idc-tz.org/petitions/kuelekea-kwenye-siku-ya-taifa-ya-wanawake-wenye-ulemavu. #wotenisawa 2 weeks ago


Jennifer MboyaMwanamke ni taifa la kesho, mwanamke ninMentor, mwanamke ni kiongozi, haijalishi hali aliyo nayo. Tusimame na mwanamkebmlevu kwani kupoteza viungo au kutokua na viongo vyote sawa na wengine si kupoteza uwezo wa kua kiongozi katika jamii. Women are unstopable. 2 weeks ago


Khadija OthmanWanake walemavu wanahaki sawa na wengine wasiokua na ulemavu, tuwapende, tuwaheshimu na kuwajali kama wengine! #tukosawa 2 weeks ago


Benedicta MremaWanawake wenye ulemavu Wana haki sawa kabisa na wasio na ulemavu..Wana uwezo wa kufanya mambo makubwa kama ilivyo kwa wengine ... Disability is not inability..wanaweza. 2 weeks ago


ANNASTAZIA RUGABAI SUPPORT THE AGENDA 2 weeks ago


Subira UpuruteWanawake wenye Ulemavu wanahaki ya kujua/kutambua haki zao za msingi hususan haki ya ndoa na malezi ya watoto. Wengi wetu jukumu tumeachiwa wanawake wenye Ulemavu katika malezi ya watoto tuliojaaliwa huku baba akiongeza changamoto kwa kutosimama kama baba hii I naongeza ulemavu zaidi 2 weeks ago


Neema ChilowekaMwanamke ni chachu ya mabadiliko ulemavu si tatizo akipata fursa nguvu yake Ni kubwa katika kuleta maendeleo 2 weeks ago


kulusumu mgalaTusiwatenge, Wanawake walemavu wanahaki sawa kama wanawake engine wasio na ulemavu, tushirikiane nao tusiwatenge! 2 weeks ago


Kauthar KhalfanWanawake walemavu wana haki sawa ya kushiriki na kushirikishwa katika shughuli za kijamii #tukosawa 2 weeks ago


301 have signed. Lets get to 400

Daudi Binala signed 4 days ago...

Esther Mwaipopo signed 5 days ago...

Diana Michael signed 6 days ago...

Upendo Mwakapusya signed 1 week ago...

Elizabeth Tilia signed 1 week ago...

Jennifer Mwandosya signed 1 week ago...

By signing, you accept Inclusive Development for Citizens’s Terms of Service and Privacy Policy, and agree to receive occasional emails about campaigns on changetanzania.org. You can unsubscribe at any time

Do You Need Help..?

Join our | WHATSAPP | OR | TELEGRAM | Group for petition updates and actions.
Email: info@idc-tz.org