t

Updates

TERMS AND CONDITIONS

Welcome to our website. If you continue to browse and use this website, you are agreeing to comply with and be bound by the following terms and conditions of use. If you disagree with any part of these terms and conditions, please do not use our website.

The use of this website is subject to the following terms of use:


You may not do any of the following while accessing or using the Inclusive Development for Citizens platform and services:


SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE YA MWAKA 2023

Sheria kwa ajili ya kuweka masharti ya kuwezesha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi kupitia bima ya afya, kuanzisha mfumo wa bima ya afya kwa wote, kuweka masharti ya kupanua wigo wa huduma mb...

VIEW IT NOW download REPORT

ZIJUE HAKI ZAKO DHIDI YA JESHI LA POLISI

Katika kupinga ukatili wa polisi kwa wananchi inabidi wananchi kutambua haki zao za msingi dhidi ya polisi. Wananchi wamekuwa wakipata wakati mgumu pale ambapo wamekuwa wakijikuta mikononi mwa jeshi l...

VIEW IT NOW download REPORT

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA MWAKA 2023/2024.

Mh Waziri Mwigulu Lameck Nchemba aliwasilisha Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara kwa mwaka 2022/23 pamoja na Mwenendo wa Utekelezaji wa Vipaumbele vya Wizara Kukusanya, kutafuta na k...

VIEW IT NOW download REPORT

Mapendekezo ya mabadiliko kwa mfumo wa Elimu.

Serikali imekusudia kuleta mapinduzi ya kijamii na kiuchumi ili kuibadili Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025. Sekta ya elimu na mafunzo, kwa mujibu wa Dira ya Maendeleo ya Taifa y...

VIEW IT NOW download REPORT

UCHAMBUZI NA MAPENDEKEZO ya HakiElimu JUU YA VIPAUMBELE NA UPANGAJI BAJETI YA SEKTA YA ELIMU MWAKA WA FEDHA 2023/2024

Ripoti ya Haki Elimu imezingatia changamoto katika sekta ya elimu pamoja na pendekezo kuu kwa Serikali kuongeza bajeti katika Sekta ya Elimu kwani kiwango kilichokua kikitengwa hakiwiani na kiwango ki...

VIEW IT NOW download REPORT

Ripoti Ya Kikosi Kazi

Utangulizi - Ripoti Ya Kikosi Kazi 1.1 Usuli Tanzania ilitimiza miaka sitini (60) ya Uhuru wa Tanzania Bara, miaka hamsini na saba (57) ya Mapinduzi ya Zanzibar na miaka hamsini na saba (57) ya Muun...

VIEW IT NOW download REPORT

Kigoma Ujiji Sexual Violence That Have Been Ignored By The Society.

  Kigoma Ujiji – Sexual violence that have been ignored by the society. Ukatili wa Kingono ndani ya kata ya Mwanga Kusini (Teleza) Teleza ( ni jina lilipowe ubakaji unaotokea ndani ya k...

VIEW IT NOW download REPORT

Reject Anti-Freedom Laws and #KEEPTZFREE!

As a Tanzanian, I take great pride in my country and its long-standing commitment to transparency in governance. Tanzania has long been a bright spot in the African region otherwise known for autocrat...

VIEW IT NOW

Umoja Wa Mataifa Ofisi Ya Idara Ya Habari Taarifa Ya Ulimwengu Juu Ya Haki Za Binadamu

Katika Disemba 10, 1948, Baraza kuu la Umoja wa Mataifa lilikubali na kutangaza Taarifa ya Ulimwengu juu ya Haki za Binadamu. Maelezo kamili ya Taarifa hiyo yamepigwa chapa katika kurasa zifuatazo. Ba...

VIEW IT NOW

Usajili Na Utoaji Wa Leseni (Kielektroniki) Za Ardhi Dar es Salaam

WIZARA ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi imezindua rasmi mpango wa kutambua na kusajili kila kipande cha ardhi kwa Mkoa wa Dar es Salaam kama sehemu ya kuongeza usalama wa milki ya ardhi. Kupit...

VIEW IT NOW